MIZIZI YA MKUNDE PORI NA FAIDA ZAKE
■ Inasafisha kizazi
■ Inazibua mirija iliyoziba
■ Inaondoa sumu kwa wale waliotumia sindano za uzazi/vidonge vya uzazi.
■ Inakomaza mayai kwa wale wenye tatizo la mayai kutokukomaa na kusababisha mayai kutokupevuka
■ Inasogeza kizazi karibu kwa wale ambao vizazi vyao vipo mbali
■ Majani ya mkunde pori pia ni dawa ya kuongeza nguvu za kiume
• Dalili mojawapo itakayokufanya ujue dawa hii ya mkunde pori inafanya kazi ni kwenda haja ndogo mara nyingi kuliko kawaida.
• Dalili nyingine ni tumbo kuvuta sana chini ya kitovu.
Usipoona dalili hizi usiogope maana ukubwa wa tatizo unatofautiana.
ANGALIZO KWA WANAWAKE WATAKAOTUMIA KWA AJILI YA UZAZI, Ukinywa dawa hii hakikisha siku za hatari unakutana na mwenzi wako...na baada ya hapo usitumie dawa mpaka upime mimba kwanza maana mimba nyingine dalili zake huchelewa kuonekana hivyo unaweza ukanywa tena mimba kama imeingia ikatoka.
Wajawazito hawaruhusiwi kutumia.
MATUMIZ
CHUKUA MIZIZ YAKE CHEMSHA KISHA KUNYWA ASUBUH MCHANA NA JION KWA UJAZO WA GLASS YA MAJI AU KIKOMBE CHA CHAI
TUMIA KWA SIKU 21 KWA MATATIZO YOTE HAPO JUU
Kwa Maelezo Zaidi +255762405213 Mbeya

Asante Sana mungu mwema
ReplyDeleteAsante na mim ntatumia uo mkundepoli
ReplyDeleteUkisha chemsha
ReplyDeleteunaweza tunzika kwa siku ngapi?
Muhanga mimi jamani natamani mtoto hata saa hii nimekunywa dawa hadi mwili umekua mchungu
ReplyDeleteYani hatupixhan jaman na iliingia ikatoka kwajil ya mchsngo mkal saiz nahangaika kwel kila nikijarbu hola
DeleteAthantee sana
DeleteAthantee sana
DeleteUmri umeongea Ila bado naona siku zangu nitatumia Mungu awabariki walioamua tusaidia wanawake ambao ahwajapakata watoto
ReplyDeleteJamani wengine wanasema huo sio mkunde pori basi wananichanganya
ReplyDeleteNaitajikujua matumizi ya majani yake kwa mimi wakiume
ReplyDeleteUnachemsha
DeleteUnapatikana wapi nahitaji hyo miziz yake...
ReplyDeleteUnapatikana wapi nahitaji hyo mizizi yake...
ReplyDeleteThanks
ReplyDeleteShukraan
ReplyDeleteShukrani mungu atusaidiy wahanga wote
ReplyDeleteJamani Mimi Nina ovarian cyst kwenye ovary yangu nikitumia mkunde pori utanisaidia kuitoa ili nipate ujauzito kweli
ReplyDeleteHakika
Delete