Skip to main content

HII NATAKA IKUUME UBADILIKE; UTAJUEJE KAMA WEWE NI KIAZI?


Unatembea na mume wa mtu, anakudangaya kuwa anakupenda kuliko mke wake lakini bado haajachana na mke wake, wewe ulivyokiazi unaamini kwakua akitaka kutoka out anatoka na wewe na si mkewe. Kwakiburi ukiamini kua unapendwa sana unaanza kupiga simu usiku wa manene ili kumkera mke wake na kwakua jamaa  nayeye ni kiazi kama wewe basi anapokea na kuongea na wewe mbele ya mkewe.

Ulivyo Kiazi zaidi unaona sibu hazitoshi, unamtumia picha za uchi huyo mwanaume, tena wakati mwingine kwakua kichwani kuna funza unamtumia mke wako mapicha ya uchi ukiwa na mume wake kumuumiza Roho. Kwanza kabisa unatakiwa kujua kuwa huna jipya, umefukunyuliwa tu na usidhani kuwa labda wewe ni wakwanza una uspesho wowote, hapana mpo wengi tu unajidhalilisha bure.

Lakini pili unatakiwa kujua kuwa huyo si mume wako, picha ukishatuma basi ndiyo umetuma. Ukikutana na mwanake kauzu wala hahanagiki na wewe, anazichukua zile picha anaenda kuziprinti na baada ya wiki anazituma posta kwa Baba yako, ofisini na kama ni kauzu zaidi anatafuta tu lianaunti feki anazirusha kwenye mitandao unaishia kudhalilika.

Mwingine anasubiri umeachana na mume wake, umepata mwanaume anataka kukuoa, anazituma kwenye group la kamati ya maandalizi ya harusi siku mbili kabla hujaolewa. Mwingine anasubiri ushaolewa anamtumia mume wako analalamika kuwa unatembea na mume wake unamtumia picha za uchi? Kwakifupi kuna namna nyingi ambazo anaweza kukudhalilisha hivyo acha kuwa kiazi!

Unachepuka sawa, hakuna hata kipya unachokipata, tena basi ukiona mwanaume anachepuka halafu anaruhusu mchepuko kumpigia simu saa nane usiku, anaruhusu mchepuko kumtukana mke wake, ujue hajiamini. Kama huyo mwanaume halelewi na mke wake, kwa maana ya hiyo Boxer anayovaa sio kanunuliwa na mke wake basi hana nguvu za kiume ni dakika mbili chali, hajiamini hana amani ndiyo maana anataka kuonekana kidume.

Ukiona Povu hili ujue kuna mtu kaachwa kwasababu ya kijinga kama hii

Comments

Popular posts from this blog

MKUNDE PORI KIBOKO YA UZAZI | TASA

MIZIZI YA MKUNDE PORI NA FAIDA ZAKE ■ Inasafisha kizazi ■ Inazibua mirija iliyoziba ■ Inaondoa sumu kwa wale waliotumia sindano za uzazi/vidonge vya uzazi. ■ Inakomaza mayai kwa wale wenye tatizo la mayai kutokukomaa na kusababisha mayai kutokupevuka ■ Inasogeza kizazi karibu kwa wale ambao vizazi vyao vipo mbali ■ Majani ya mkunde pori pia ni dawa ya kuongeza nguvu za kiume • Dalili mojawapo itakayokufanya ujue dawa hii ya mkunde pori inafanya kazi ni kwenda haja ndogo mara nyingi kuliko kawaida. • Dalili nyingine ni tumbo kuvuta sana chini ya kitovu. Usipoona dalili hizi usiogope maana ukubwa wa tatizo unatofautiana. ANGALIZO KWA WANAWAKE WATAKAOTUMIA KWA AJILI YA UZAZI, Ukinywa dawa hii hakikisha siku za hatari unakutana na mwenzi wako...na baada ya hapo usitumie dawa mpaka upime mimba kwanza maana mimba nyingine dalili zake huchelewa kuonekana hivyo unaweza ukanywa tena mimba kama imeingia ikatoka. Wajawazito hawaruhusiwi kutumia. MATUMIZ CHUKUA MIZIZ...

RAHA YA KUWA NA MWANAMKE MWEUSI KWENYE MAHUSIANO

Nilikuwaga sielewi kwanini hawa wanawake weusi aka blacks wanasifiwa sana?. Jaman hii type ni raha sana kudate nayo unakuwa huna stress kwanza hawana vizinga vya kizembe zembe, wanaridhika hata wakipewa kitu kidogo, yani wanajua kupenda na wengi wana true love. Sijamaliza bado, wanawake weusi wanajua nini maana ya mapenzi, wanajua kukaa na mwanaume halafu pia wanajituma sana akija ghetto anafanya kila kitu hadi kubrash viatu.  Ukija kwenye kule kwa 6x6 sio wachoyo kukupa na wanajua balaa ni mafundi na hawana maringo kabisa.  Shida ya hizi rangi nyeupe ni kwamba zina maringo sana na wanavizinga sana unakuta dada kaupele kadogo kameota anataka dawa halafu utasikia 50k dawa ya uson wtf?? Hawa mademu weupe wana vizinga sana halafu wengi ni malaya sana. Nasema haya coz me nilikuwa mhanga sana wa hizi type nyeupe ila toka nianze kula hizi nyeusi mmeona utofauti mkubwa sana mpaka nimeanza kuwaelewa mablacks yani hawana complications. Popote mlipo nyie wanawake weusi agizen...

USIMUAMINI KAMWE....!!

Dada zangu naomba niandike kwa sauti kubwa kabisa mnielewe maana aisee mnadanganyika na uongo mwingine mpaka mnanpia hasira ipo siku nitavunja simu yangu hapa na hali ilivyo ngumu! Iko hivi, kama una mpenzi wako, mpo kwenye mahusiano kwa zaidi ya miezi mitatu, narudia zaidi ya miezi mitatu, hajawahi kukupeleka kwake, mechi anataka mkapigie gest au nyumbani kwako. Ukitaka kwenda kwake anaanza sijui pale wambea wengi, mara bado naishi kwetu, mara naishi na wadogo zangu, mara kuna wageni wengi sijui nini? Kuna mwingine kaambiwa eti nyumba ina choo cha nnje utasumbuka na yeye akaamini. Unakuta mwanaume anakupa visababau sababu vya kijinga jinga ambavyo havieleweki, mwanaume anafanya kazi lakini hataki kabisa ujue kwao. Hata ukimuambia kuwa nionyeshe basi nyumba ilipo hata kama sitafika niingie hataki. Lakini sasa na hapa ndiyo mnadanganywa mwanaume huyu huyu unaweza kumpigia simu hata saa nane usiku tena wakati mwingine Video call basi huyu ana mke kabisa au mwanamke anaishi naye. Wan...