Acha Kuwa Baba Wa Familia Rudi Kuwa Mama; Kuchepuka kunahitaji hela, ni wanawake wachache sana ambao watasikia kua flani ameoa halafu wakawa na mahusiano ambayo hayagusi hela. Kwa maana hiyo basi kama mume wako anachepuka moja kwa moja atakua anahonga na kama anahonga basi moja kwa moja atakua akipunguza matumizi hapo nyumbani na kukuachia majukumu yake yote.
Hapana, ukishamfumania mume wako acha kubeba majukumu yake na kama habebi basi yabaki hivyo hivyo. Inawezekana umeajiriwa au unakabiashara kako hivyo anajua kua hata asipotoa matumizi atarudi nyumbani na kukuta chakula, hapana. Kama hatoi matumizi akirudi nyumbani basi akute ushawapikia watoto chakula kimeisha, kama akirudi akute umeme hakuna na kama hatalipa ada ya watoto basi wabaki hapo nyumbani.
Amua kabisa kuwa Mama, pesa zako anza kuwekeza katika mambo yako binafsi, wekeza vitu kwa majina ya watoto wewe ukiwa kama msimamizi wao. Hakikisha watoto wanapata chakula na matibabu ila mambo mengine muachie, hata ada muachie na kama hatalipa awaone watoto hawaendi shule, kwa kifupi asijue kua kama akikutelekezea familia utalea hapana nilazima umpunguzie hela yake ya kuhonga sio wewe unahangaika na familia yeye anahonga!

Comments
Post a Comment