Kwanini uwe Plan B ya mtu, hivi unafikiri wewe unastahili kufanyiwa hivyo, yaani hujioni kama unaweza kuwa na wakwako na ukawa na furaha, ukaacha kutumiwa kama choo.
Yaani usubiri mpaka akataliwe huko ndiyo arudi kwako. Tena si mara moja, kakataliwa kaja kukubembeleza, karudi kakataliwa kaja tena kukubembeleza unakubali tu!
Kweli kama wewe mwenyewe hujiheshimu ukajithamini unafikiri nani atakuthamini. Yaani wewe uwe jalala la stress zake, kila akiumizwa anakuja kulilia kwako!
Hembu amka, Mungu hawezi kukupa harufu ya manukato wakati kila siku unakumbatia majalala. Ukikumbatia hao walioumizwa Mungu hawezi kukuletea wa kukudekeza badilika!
Halafu eti unajisifu kua atahangaika kote lakini kwangu atarudi! Pumbavu anarudi kwakua wewe ndiyo mjinga wake sio kwakua eti anakupenda, wewe ndiyo choo cheke.
Yaani azunguke ale kuku wake huko, ale pilau lake huko, ashibe, apige na bia zake vurugu zote halafu anakuja kumalizia haja zake kwako. Unakua kama choo chake, kutupa uchafu wa mawazo.
Hivyo acha kujisifu kwa kuwa choo chake kwamba starehe alie huko lakini uchafu wa stress, akiishiwa, akiumizwa, anakuja kutupa kwako!
Amka kumbuka hakuna mtu anayependa kukaa chooni anakaa kwakua ana haja siku akimaliza haja zake ataondoka na kama akirudi ukamkubali tena basi jua wewe ni choo chake ataondoka na kurudi tena!
Kataa kuwa choo cha mtu!

Comments
Post a Comment