Skip to main content

MKASA: MWANAMKE NI KAMA MASAI UKIMFADHILI ANAKUACHIA MASHUKA

Yapata Miaka Mitano ilopita, baada ya kuona Maisha Bongo yamekaza, Ninja 
huyoooo nikapanda Mwewe kwenda zangu Dubai Kuwa Mfagia Barabara na mbeba 
Mabox. Usicheke Katika Nchi za wenzetu kazi ni kazi, na kila mmoja 
anaheshimu kazi ya mwenzie. 

Kule nilifikia kwa jamaa zangu wawili, Jamaa Walikuwa na Gheto hivyo mzee 
nikajoin Nikawa naishi nao pamoja. So Asubuhi kila mmoja ilikuwa anachomoka 
anaenda kwenye Mishe yake, Kama Ni kuuza Utumbo hayaa kama ni kwenda 
kuzibua vyoo hayaa. Ila mbishi kazi yangu ilikuwa 
nafagia Barabara karibu na Mall of the Emirates, wazee wa kule nadhani 
wanapajua. Gheto tulikuwa na ratiba hivyo ilivyofika tu Jioni mwenye zamu 
yake aliwahi kwenda kuandaa maakuli. 

Kuna mtanzania Mwenzetu, kwa jina Tom yeye alikuwa ni Doctor pale, so alikuwa 
na mafanikio na alifanikiwa kuchukua apartment akawa anaishi pale na 
Mchumba wake wa kibongo. Mchumba wake alikuwa ni mtoto wa Kingoni aisee! 
Nyuma alikuwa kafungashia Pundamilia huyo hakuna!. Kwa kawaida Wangoni ni 
weusi kama Mafuta ya Bunduki ila yule sijui alitolea wapi rangi yake nzuri 
ya Brown! Pembeni alikuwa kafungasha zile watu wanaziita Pisto, Ila zake 
niliona zimezidi na kuwa Bunduki kabisa. Ninja AKA baba Uchu nilikuwa 
nakodoa macho hadi yanataka kutoka, Umbali wa Tulipokuwa tunakaa hadi 
walipokuwa wao ilikuwa ni mwendo kama wa Dk 30 au 40.


Siku moja tukiwa gheto tumechill ghafla Tukasikia Njee 'James' 'Jamesss', 
james Alikuwa ni mmoja wa jamaa tulokuwa tunaishi nao. So wazee baada ya 
kufungua Mlango pale Wowww! Alikuwa ni Tom na mkewe, wamemeremeta balaa. Tom 
akatwambia Vipi wazee naweza Kuwatoa Dinner. Bila Hiyana pale wazee 
Tukakubali, Mzee Huyo alikuwa ana mkoko wa mmoja matata sana Aina Ya Audi. 
Akatujaza mle wazee haoooo nduki. Tulipita Sheikh zayed road Kuelekea Upande 
wa Mashariki. Hapo Sheikh Zayed Road Panda FLY OVER moja hatari!!! Wazee 
dubai najua mnanielewa.

Basi Bana, baada ya Muda Akatufikisha mgahawani na kutuambia kuwa Kampuni 
yake anayofanyia kazi Inamtaka aende USA kwa ajili ya kuongeza taaluma. 
safari ambayo ingemchukua takriban Miezi 10! hivyo akatuomba sana kuwa 
tumtumnzie mchumba wake kipindi atakachokuwa safari Maada Ile Mitaa Wabongo 
tulikuwa pekeetu. Kwa kauli ile nikahisi kama mbuzi kafia kwa muuza supu 
vile!, ila ghafla nikaja kung'amua kuwa pale tulipo Si TZ. Kifupi tupo 
kwenye Dunia nyingine! nikashusha pumzi maana Demu mwenyewe Ukimuona tu 
Unaogopa anavutia hatari! Nikaona Potelea Mbali Vya kaisari Muachie Kaisari 
mwenyewe, Kamwe Usitake kushindana na hawa kina kaisari.

Basi Kwa Pamoja pale tukampa Hongera Mshikaji kwa Kupata Nafasi Hiyo, kisha 
baada ya Wiki Akakwea Mwewe kwenda USA. Huwezi Amini safari hii American 
Ninja Ujanja ulikuwa Mfukoni maana Demu wangu alikuwa ni Punyeto. Mzee 
nilipiga Pundeto hadi Mic Ikaanza Kuchubuka! Ukame! Ukame! Ukame!! wa maduu 
uliniandama. Si kwamba Maduu hawapo wapo ila ni wale malaya, so mimi na Hao 
Viumbe hapana.

Kwenye punyeto Mzee nilikuwa nafumba macho na kuanza kuvuta picha za Mamanzi 
wangu wote niliowahi kudate nao maishani. Kisha naanza kuwachambua mmoja 
baada ya mwingine kwenye Memory ya kichwa, namchambua Jane naona kwa sasa 
Hafai namtoa namvuta Roza, Namvua Nguo, namuona Rosa akiwa Uchi kabisa pale 
kwenye memory, Navuta picha yake akicheka, Akiwa anaguna wakati nampiga 
miti, akilia kwa mahaba, Akiwa anafika mshindo. ghafla nami huku najikuta 
nafika mshindoni pwaaaah. wakati huo ikumbukwe kuwa nakuwa naipepeta Mic 
yaani juu chini juu chini!..


Siku moja nakumbuka Ilikuwa ni Jumapili, mimi pamoja na washkaji zangu 
tulikuwa nyumbani. Kwenye mida ya saa saba mimi nakawa napiga story na Demu 
wangu wa Bongo, So nilikuwa nachat nae huku napiga story na jamaa zangu. 
Ghafla Nikajichanganya kutuma ujumbe Nilokuwa nimeuandika ''Nakupenda'' 
Badala ya kumtumia Veronica, Mimi nikamtumia Vero!! Vero ndo Shemeji 
Tuloambiwa tumtunze na Tom AKA Kibopa.

Itaendelea endelea kufuatilia ukurasa huu

Comments

Popular posts from this blog

MKUNDE PORI KIBOKO YA UZAZI | TASA

MIZIZI YA MKUNDE PORI NA FAIDA ZAKE ■ Inasafisha kizazi ■ Inazibua mirija iliyoziba ■ Inaondoa sumu kwa wale waliotumia sindano za uzazi/vidonge vya uzazi. ■ Inakomaza mayai kwa wale wenye tatizo la mayai kutokukomaa na kusababisha mayai kutokupevuka ■ Inasogeza kizazi karibu kwa wale ambao vizazi vyao vipo mbali ■ Majani ya mkunde pori pia ni dawa ya kuongeza nguvu za kiume • Dalili mojawapo itakayokufanya ujue dawa hii ya mkunde pori inafanya kazi ni kwenda haja ndogo mara nyingi kuliko kawaida. • Dalili nyingine ni tumbo kuvuta sana chini ya kitovu. Usipoona dalili hizi usiogope maana ukubwa wa tatizo unatofautiana. ANGALIZO KWA WANAWAKE WATAKAOTUMIA KWA AJILI YA UZAZI, Ukinywa dawa hii hakikisha siku za hatari unakutana na mwenzi wako...na baada ya hapo usitumie dawa mpaka upime mimba kwanza maana mimba nyingine dalili zake huchelewa kuonekana hivyo unaweza ukanywa tena mimba kama imeingia ikatoka. Wajawazito hawaruhusiwi kutumia. MATUMIZ CHUKUA MIZIZ

RAHA YA KUWA NA MWANAMKE MWEUSI KWENYE MAHUSIANO

Nilikuwaga sielewi kwanini hawa wanawake weusi aka blacks wanasifiwa sana?. Jaman hii type ni raha sana kudate nayo unakuwa huna stress kwanza hawana vizinga vya kizembe zembe, wanaridhika hata wakipewa kitu kidogo, yani wanajua kupenda na wengi wana true love. Sijamaliza bado, wanawake weusi wanajua nini maana ya mapenzi, wanajua kukaa na mwanaume halafu pia wanajituma sana akija ghetto anafanya kila kitu hadi kubrash viatu.  Ukija kwenye kule kwa 6x6 sio wachoyo kukupa na wanajua balaa ni mafundi na hawana maringo kabisa.  Shida ya hizi rangi nyeupe ni kwamba zina maringo sana na wanavizinga sana unakuta dada kaupele kadogo kameota anataka dawa halafu utasikia 50k dawa ya uson wtf?? Hawa mademu weupe wana vizinga sana halafu wengi ni malaya sana. Nasema haya coz me nilikuwa mhanga sana wa hizi type nyeupe ila toka nianze kula hizi nyeusi mmeona utofauti mkubwa sana mpaka nimeanza kuwaelewa mablacks yani hawana complications. Popote mlipo nyie wanawake weusi agizeni mirinda

STORI YANGU; NILIZAA NA WEWE KWAKUA UNAWEZA KUHUDUMIA MTOTO!

Wote tuliingia kazini siku moja, mimi niliajiriwa kama afisa mikopo wakati yeye aliajiriwa kama mhasibu lakini wote tulianzia kama mateila mpaka baada ya kama miezi sita hivi ndiyo tulitoka na kila mtu akawa ameenda katika kitengo chake.  Kuna dada mwingine ambaye walikua kitengo komoja na wote tulikua marafiki. Mimi ni msiri sana hivyo hata nilipoanzisha mahusiano yangu na Kelvin (Sio jina lake halisi) sikumuambia mtu yoyote zaidi ya Edna ambaye ingawa tulikutana kazini lakini alishaanza kuwa kama Dada yangu. Edna alikua ni rafiki yangu mkubwa, anakuja nyumbani kwangu tunaongea na nilimsaidia katika mambo mengi. Wakati Mama yake anaumwa kalazwa hospitali nakumbuka aliishiwa kabisa, hata kodi ya nyumba alikosa, walitaka kumfukuza lakini nikatoa pesa yangu laki tisa na kumlipia, baadaye alipotaka kunirudishia nilimuambia hapana. Alishukuru sana, kwa upande wa Kelvin mahusiano yetu yalikua hatakaharaka, tulifanya karibu kila kitu pamoja. Wakati nanunua kiwanja ili kujenga yeye ali