Skip to main content

UKWELI KUHUSU MAMA; KWANINI AKINA MAMA HUWABUSU WATOTO WAO?


Mapenzi ya Mama kwa mtoto wake ni ya kipekee ambayo hayawezi kufananishwa na kitu chochote, narudia hayawezi kufananishwa na mapenzi ya aina yoyote hata yale ya Baba kwa mtoto wake.

Hii ndiyo maana mwili wa mwanamke bila kujijua unamlinda mtoto tangu siku ya kwanza ya kutungwa mimba. Kuna mambo ambayo wanawake hufanya bila kujijua wanafanya nini lakini ni ya muhimu sana kwa maisha ya watoto wao.

Nadhani umeshawahi kuona, mtoto akiwa mchanga, akinamama hupenda kuwabusubusu, Mama atambusu mtoto kila mara, akamkumbatia na hata kutamani kumng’ata.

Kama ni Mama nadhani unajua, unaweza kujikuta unambusu tu mwanao, wakati mwingine bila hata kujali ni mchafu au la? Hivi unajua kuwa ni kwanini?

Lakini Mama unakuta anamng’ata kucha mtoto, yaani kamshika na wala hajali anang’ata moja moja, yeye anadhani ni kwakua anaogopa wembe utamkata, hapana kuna kitu kingine zaidi ya hicho!

Lakini pia unakumbuka kuwa, kuna siku uji ulimwagikia mwanao mkononi badala ya kumfuta kwa kitambaa ukaulamba ule mkono? Hivi unajua kwanini ulifanya hivyo?

Najua unadhani kuwa ni kwaajili ya mapezni uliyonayo kwake, nikweli lakini kuna kitu kingine kikubwa zaidi ha hicho. Kinga ya mtoto kwa magonjwa hutengenezwa wakati mtoto yuko tumboni.

Lakini hiyo ni kidogo sana na haitoshi, kwani mtoto anakua yuko sehemu salama, mtoto anapozaliw ana kukutana na mzingira ya nnje, kunakuwa na uchafu, wadudu na vitu vingine ambavyo vinaweza kumsafishia magonjwa wkaati hana kinga ya kutosha.

Sasa Mama anapombusu mtoto wake, anapomng’ata kucha, kumlamba mikono, ni mwili wake unamuambia kufanya hivyo. Mdomo wa Mama unapogusa mwili wa mtoto, kunakuwa na wadudu wadudu wa ambao husababusha magonjwa.

Sasa mwili wa Mama unachukua sample ya wale wadudu, kupitia mdomo, pua na kupeleka mwilini kwa Mama. Unauambia mwili wa Mama kuwa mwanao kazungukwa na wadudu flani na flani.

Mwili wa Mama unatengeneza kinga kwaajili ya wale wadudu ambao mtoto anaweza kuwameza kwa kushika, kula, au kupumua. Sasa ile kinga hupelekwa katika maziwa ya Mama.

Mtoto anaponyonya basi anakutana na kinga ile tayari ishatengenezwa. Ndiyo Mama anamtengenezea mwanae dawa, hii ndiyo maana unashauriwa kunyonyesha kwa muda mrefu kwani wakati huo mwili wa mtoto haujawa imara sana kutengeneza kinga yake wenyewe.

Sasa kwanini usimpende Mama yako wakati ndiyo alikua Daktari wako wa kwanza, ndiyo inawezekana ana mapungufu yake kama mwanadamu lakini hembu pima mazuri aliyokufanyia na hayo unayoyaona mabaya.

Comments

Popular posts from this blog

MKUNDE PORI KIBOKO YA UZAZI | TASA

MIZIZI YA MKUNDE PORI NA FAIDA ZAKE ■ Inasafisha kizazi ■ Inazibua mirija iliyoziba ■ Inaondoa sumu kwa wale waliotumia sindano za uzazi/vidonge vya uzazi. ■ Inakomaza mayai kwa wale wenye tatizo la mayai kutokukomaa na kusababisha mayai kutokupevuka ■ Inasogeza kizazi karibu kwa wale ambao vizazi vyao vipo mbali ■ Majani ya mkunde pori pia ni dawa ya kuongeza nguvu za kiume • Dalili mojawapo itakayokufanya ujue dawa hii ya mkunde pori inafanya kazi ni kwenda haja ndogo mara nyingi kuliko kawaida. • Dalili nyingine ni tumbo kuvuta sana chini ya kitovu. Usipoona dalili hizi usiogope maana ukubwa wa tatizo unatofautiana. ANGALIZO KWA WANAWAKE WATAKAOTUMIA KWA AJILI YA UZAZI, Ukinywa dawa hii hakikisha siku za hatari unakutana na mwenzi wako...na baada ya hapo usitumie dawa mpaka upime mimba kwanza maana mimba nyingine dalili zake huchelewa kuonekana hivyo unaweza ukanywa tena mimba kama imeingia ikatoka. Wajawazito hawaruhusiwi kutumia. MATUMIZ CHUKUA MIZIZ...

RAHA YA KUWA NA MWANAMKE MWEUSI KWENYE MAHUSIANO

Nilikuwaga sielewi kwanini hawa wanawake weusi aka blacks wanasifiwa sana?. Jaman hii type ni raha sana kudate nayo unakuwa huna stress kwanza hawana vizinga vya kizembe zembe, wanaridhika hata wakipewa kitu kidogo, yani wanajua kupenda na wengi wana true love. Sijamaliza bado, wanawake weusi wanajua nini maana ya mapenzi, wanajua kukaa na mwanaume halafu pia wanajituma sana akija ghetto anafanya kila kitu hadi kubrash viatu.  Ukija kwenye kule kwa 6x6 sio wachoyo kukupa na wanajua balaa ni mafundi na hawana maringo kabisa.  Shida ya hizi rangi nyeupe ni kwamba zina maringo sana na wanavizinga sana unakuta dada kaupele kadogo kameota anataka dawa halafu utasikia 50k dawa ya uson wtf?? Hawa mademu weupe wana vizinga sana halafu wengi ni malaya sana. Nasema haya coz me nilikuwa mhanga sana wa hizi type nyeupe ila toka nianze kula hizi nyeusi mmeona utofauti mkubwa sana mpaka nimeanza kuwaelewa mablacks yani hawana complications. Popote mlipo nyie wanawake weusi agizen...

USIMUAMINI KAMWE....!!

Dada zangu naomba niandike kwa sauti kubwa kabisa mnielewe maana aisee mnadanganyika na uongo mwingine mpaka mnanpia hasira ipo siku nitavunja simu yangu hapa na hali ilivyo ngumu! Iko hivi, kama una mpenzi wako, mpo kwenye mahusiano kwa zaidi ya miezi mitatu, narudia zaidi ya miezi mitatu, hajawahi kukupeleka kwake, mechi anataka mkapigie gest au nyumbani kwako. Ukitaka kwenda kwake anaanza sijui pale wambea wengi, mara bado naishi kwetu, mara naishi na wadogo zangu, mara kuna wageni wengi sijui nini? Kuna mwingine kaambiwa eti nyumba ina choo cha nnje utasumbuka na yeye akaamini. Unakuta mwanaume anakupa visababau sababu vya kijinga jinga ambavyo havieleweki, mwanaume anafanya kazi lakini hataki kabisa ujue kwao. Hata ukimuambia kuwa nionyeshe basi nyumba ilipo hata kama sitafika niingie hataki. Lakini sasa na hapa ndiyo mnadanganywa mwanaume huyu huyu unaweza kumpigia simu hata saa nane usiku tena wakati mwingine Video call basi huyu ana mke kabisa au mwanamke anaishi naye. Wan...