Skip to main content

Posts

Showing posts from June, 2019

STORI YA KWELI: WAKATI WA KULALA ALIKUA ANAPENDA KUNISHIKA...........!!

Nimeolewa nina mtoto mmoja, mme wangu anapenda sana kushika shika makalio yaani akiona niko mtupu tu basi bora anishike hata makalio aridhike, sikuogopa nilijua mwili wangu ni haki yake nikawa namuwachia, tukilala tu, anaweka mkono kwenye makalio ndio usingizi unampata alizowea hivyo. Yaani hata tugombane vipi tukilala tu anaweka mkono wake kwenye makalio kwa juu kila nikishtuka nakuta mkono, ILA HAKUWAHI KUNIAMBIA HABARI ZA KIINGILIA KINYUME CHA MAUMBILE Aliniheshimu sana wala hata sikuwahi kuhisi kama ana mtu nje yaani hata wazo sikuwa nalo maana unawezashinda na simu yake usione chochote, hata upekuwe vipi hukuti chochote, saa moja yupo nyumbani, weekend hatoki, yaani amani tupu, sasa kuna kipindi. Akaanza kuwa na tatizo la kutosimamisha i kawa akifika asubuhi anakuwa ha hamu kabisa, naamimi nakuwa na hamu sana, lakini inakuwa imesimama kidogo sana,basi naichezea naigusisha baadae kabisa ndio inasimama anaingiza, akiingiza unakuta katikati ya mapenzi inalala tena kwahiyo nakuwa

RAHA YA KUWA NA MWANAMKE MWEUSI KWENYE MAHUSIANO

Nilikuwaga sielewi kwanini hawa wanawake weusi aka blacks wanasifiwa sana?. Jaman hii type ni raha sana kudate nayo unakuwa huna stress kwanza hawana vizinga vya kizembe zembe, wanaridhika hata wakipewa kitu kidogo, yani wanajua kupenda na wengi wana true love. Sijamaliza bado, wanawake weusi wanajua nini maana ya mapenzi, wanajua kukaa na mwanaume halafu pia wanajituma sana akija ghetto anafanya kila kitu hadi kubrash viatu.  Ukija kwenye kule kwa 6x6 sio wachoyo kukupa na wanajua balaa ni mafundi na hawana maringo kabisa.  Shida ya hizi rangi nyeupe ni kwamba zina maringo sana na wanavizinga sana unakuta dada kaupele kadogo kameota anataka dawa halafu utasikia 50k dawa ya uson wtf?? Hawa mademu weupe wana vizinga sana halafu wengi ni malaya sana. Nasema haya coz me nilikuwa mhanga sana wa hizi type nyeupe ila toka nianze kula hizi nyeusi mmeona utofauti mkubwa sana mpaka nimeanza kuwaelewa mablacks yani hawana complications. Popote mlipo nyie wanawake weusi agizeni mirinda

MKASA: MWANAMKE NI KAMA MASAI UKIMFADHILI ANAKUACHIA MASHUKA

Yapata Miaka Mitano ilopita, baada ya kuona Maisha Bongo yamekaza, Ninja  huyoooo nikapanda Mwewe kwenda zangu Dubai Kuwa Mfagia Barabara na mbeba  Mabox. Usicheke Katika Nchi za wenzetu kazi ni kazi, na kila mmoja  anaheshimu kazi ya mwenzie.  Kule nilifikia kwa jamaa zangu wawili, Jamaa Walikuwa na Gheto hivyo mzee  nikajoin Nikawa naishi nao pamoja. So Asubuhi kila mmoja ilikuwa anachomoka  anaenda kwenye Mishe yake, Kama Ni kuuza Utumbo hayaa kama ni kwenda  kuzibua vyoo hayaa. Ila mbishi kazi yangu ilikuwa  nafagia Barabara karibu na Mall of the Emirates, wazee wa kule nadhani  wanapajua. Gheto tulikuwa na ratiba hivyo ilivyofika tu Jioni mwenye zamu  yake aliwahi kwenda kuandaa maakuli.  Kuna mtanzania Mwenzetu, kwa jina Tom yeye alikuwa ni Doctor pale, so alikuwa  na mafanikio na alifanikiwa kuchukua apartment akawa anaishi pale na  Mchumba wake wa kibongo. Mchumba wake alikuwa ni mtoto wa Kingoni aisee!  Nyuma alikuwa kafungashia Pundamilia huyo hakuna!. Kwa kawaida Wangoni ni

ASILIMIA 90 YA MANENO WAKATI UNATONGOZWA NI UONGO

Wakati wakutongozwa mkubali mwanaume kwakua amekuvutia, ukimuangalia unasema huyu tunaweza kuvumiliana hata katika mahusiano, kwakua anakuheshimu kwamba anapoongea na wewe haongei kauli za dharau na kishenzi na tatu kwakua yuko salama kiafya (sasa hapa ni kama na wewe upo tayari kupima) ila ukimkubali mwanaume kwakua alikuambia sijui  nini, sijui yuko siriasi anataka kuoa, sijui katoka kuumizwa, sijui anakupenda basi jua imekula kwako. Asilimia 90 ya maneno wanaume wengi wanayoongea wakati wanatongoza ni uongo. Kuna utongozaji wa namna mbili, aina ya kwanza ni kutongoza mwanamke usiyemjua, huyu umekutana naye kwenye Basi, mtaani, anapita njia na popote humjui hakujui, hapa unatumia ubaharia, unaonyesha tabia njema ukikisia labda anapenda hii na kile, unamsoma vizuri mwanamke na unamuacha ajiongeze mwenyewe. Mmabaharia tunajua kuwa ukimuacha mwanamke kuongea atakuambia kila kitu anachokipenda mara “Ohhh mimi nishaumizwa sana… nataka mtu siriasi ..nilikua na mahusiano na mwanaume bl

KAMA UNASUBIRI AMUACHE TARATIBU UTASHUHUDIA AKIMUOA TARATIBU!

Ubaya wa wanawake ni wagumu kuelewa, wakishapenda wanadhani kuwa mapenzi yanatosha, ipo hivi mapenzi yanatosha kama wote mnapendana. Ukikutana na mwanaume akakuambia kuwa “Nina mtu lakini nataka kumuacha polepole ili nisimuumize!” Basi jua kuwa huyo mtu hakupendi na anachotaka ni kuchepuka kwa uhuru, kwanza wewe ndiyo mchepuko ndiyo maana huyo mwingine hataki kumuumiza, hakuna cha kuacha taratibu na hakuna namna ambayo unaweza kumuacha mtu bila kumuumiza kama kweli alikua anakupenda! Kwanza kuacha polepole ndiyo nini kwamba unamkaanga au unamuacha kwa kumuwekea kachumbari! Ni sawa na kusema eti namchinza polepole tena ndiyo yenye maumivu makali zaidi, hembu fikiia unamchinja kuku polepole, unajua kuwa atakufa lakini unamchinja polepole. Kwanza niseme kuwa wewe unayeambiwa na ukakubali kuwa mwenzako aache polepole na huyo anayekuambia kuwa anaacha polepole wote ni washenzi tu, narudia wote ni washenzi tu! Hembu fikiria upo na mwanaume. Unajua anakupenda kumbe anakuacha polepole, k

KAMA UPO NAE ZAIDI YA MIAKA 3 MUULIZE SIO KWA KULALAMIKA

Kama upo kwenye mahusiano na mwanaume miaka mitatu na haeleweki basi ukimaliza kusoma hapa muulize sio kwa kulalamika, kwa kumuangalia usoni muulize hivi una mpango wa kunioa au unanipotezea muda wangu tu. Acha kudhani kwakua anakuambia anakupenda atakuoa, acha kudhani kwakua amekuambia mfungue biashjara ya pamoja atakuoa, acha kudhani kwakua amekuambia umzalie atakuoa, acha kudhani kwakua mnaishi pamoja atakuoa, acha kudhani kwakua ulimtafutia kazi atakuooa. Acha kudhani kwakua ndugu zake wanakujua anakuacha uongee na Mama yake atakuoa. Acha kudhani kwakua anakusifia kua wewe ni wife material atakuoa. Muulize tena acheni lile swali la “Kwetu utakuja lini kujitambulisha?” Ndugu yangu aje kwanu kakuambia anakutaka, au alishaweka ahadi muulize uso mkavu kama umepiga cha arusha “Hivi una mpango wa kunioa au huna?” inawezekana hajafikia kuoa lakini ana mpango na wewe au amefikia lakini hana mpango na wewe. Miaka mitatu ni mingi kwa mtu kukuchunguza tabia, labda kama anataka kujua na m

SIMULIZI; MAMA USILIE KWANI UKIAMKA ASUBUHI SISI TUTAKUA TUMELALA!

Wote tulikua tunaona mambo aliyokua anafanya Kaka yetu, si kwamba hatukua tunaweza kumuambia hapana, ni kama kila mtu alikua akimchukia mke wake ingawa hatukuwa na sababu yoyote. Mara kadhaa Mama alienda na kumtukana lakini wifi alivumilia na hakusema chochote. Kaka yangu alikua akimpelekea wanawake mpaka ndani lakini wifi alivumilia, mimi nilikua naishi kwa Kaka na niliona na kuumia. Mara kadhaa alipochoka na kutaka kuondoka Kaka alimuambia aondoke lakini amuachie wanae. Mungu aliwabariki watoto watatu, wakike wawili na wakiume mmoja, wifi alivumilia na kukubali kuteseka kwaajili ya wanae. Kipindi hicho mimi nilikua darasa la saba hivyo kidogo nilikua napatana na wifi kwani kweli sikuwahi kumuona na kosa lolote na nilishangaa ni kwa namna gani ndugu zangu wengine walikua wanamchukia. Siku moja nilikua nimatoka shule nakumbuka ndiyo nilitoka kufanya mtihani wa taifa kumaliza darasa la saba. Nilipofika nyumbani kwa Kaka ambapo mimi nilikua nikiishi nilikuta kuna watu wengi wameja

KWANINI UENDELEE KUWA MCHEPUKO WA MTU MWINGINE

Kwanini uwe Plan B ya mtu, hivi unafikiri wewe unastahili kufanyiwa hivyo, yaani hujioni kama unaweza kuwa na wakwako na ukawa na furaha, ukaacha kutumiwa kama choo. Yaani usubiri mpaka akataliwe huko ndiyo arudi kwako. Tena si mara moja, kakataliwa kaja kukubembeleza, karudi kakataliwa kaja tena kukubembeleza unakubali tu! Kweli kama wewe mwenyewe hujiheshimu ukajithamini unafikiri nani atakuthamini. Yaani wewe uwe jalala la stress zake, kila akiumizwa anakuja kulilia kwako! Hembu amka, Mungu hawezi kukupa harufu ya manukato wakati kila siku unakumbatia majalala. Ukikumbatia hao walioumizwa Mungu hawezi kukuletea wa kukudekeza badilika! Halafu eti unajisifu kua atahangaika kote lakini kwangu atarudi! Pumbavu anarudi kwakua wewe ndiyo mjinga wake sio kwakua eti anakupenda, wewe ndiyo choo cheke. Yaani azunguke ale kuku wake huko, ale pilau lake huko, ashibe, apige na bia zake vurugu zote halafu anakuja kumalizia haja zake kwako. Unakua kama choo chake, kutupa uchafu wa mawazo

HEBU JIULIZE WEWE UPO KWENYE AINA GANI YA NDOA

Hey mambo vipi msomaji wangu leo ni siku nyingine tulivu ningependa nikuletee mada fupi itakayokueka wewe ktk ufahamu na kujua wewe upo ktk ndoa ipi au watu wengine wapo kwenye ndoa hipi juu ya maisha yao wanayoishi ktk jamii ili ujifunze kupitia wao, 1. NDOA YA MKEKA Inatokana na kufumaniwa na Binti wa watu. Ndoa hii huwa Haina mahari. Hii huvunjika mwaka mmoja tu baada ya wanandoa kugundua hawakuwa wakipendana! 2. NDOA YA MIHEMKO (KUTAMANIANA) Hufungwa na vijana wenye umri wa miaka kati mume18 mke 16. Huvunjika baada ya miaka 3 au 4 ya ndoa. 4. NDOA YA MAONESHO Wenye ndoa Hii hupenda kujionyesha barabarani. Ila ndani hazina utii. Hupigana kila wanaporudi kutoka kwenye mizunguko. Cha kushangaza huwa hazivunjiki lakini ndiyo ndoa zinazoongoza kwa kuchepuka! 5. NDOA YA UHAMISHO. Hufungwa na watumishi wa vijijini na mjini. Ili wa kijijini ahamie mjini. Mahari hutoa anayetaka kuhamia mjini. Hata kama mahari atatoa mume lakini hii ndiyo ndoa yenye ukakasi zaidi.Huvunjika mara

HII NATAKA IKUUME UBADILIKE; UTAJUEJE KAMA WEWE NI KIAZI?

Unatembea na mume wa mtu, anakudangaya kuwa anakupenda kuliko mke wake lakini bado haajachana na mke wake, wewe ulivyokiazi unaamini kwakua akitaka kutoka out anatoka na wewe na si mkewe. Kwakiburi ukiamini kua unapendwa sana unaanza kupiga simu usiku wa manene ili kumkera mke wake na kwakua jamaa  nayeye ni kiazi kama wewe basi anapokea na kuongea na wewe mbele ya mkewe. Ulivyo Kiazi zaidi unaona sibu hazitoshi, unamtumia picha za uchi huyo mwanaume, tena wakati mwingine kwakua kichwani kuna funza unamtumia mke wako mapicha ya uchi ukiwa na mume wake kumuumiza Roho. Kwanza kabisa unatakiwa kujua kuwa huna jipya, umefukunyuliwa tu na usidhani kuwa labda wewe ni wakwanza una uspesho wowote, hapana mpo wengi tu unajidhalilisha bure. Lakini pili unatakiwa kujua kuwa huyo si mume wako, picha ukishatuma basi ndiyo umetuma. Ukikutana na mwanake kauzu wala hahanagiki na wewe, anazichukua zile picha anaenda kuziprinti na baada ya wiki anazituma posta kwa Baba yako, ofisini na kama ni kau

JE NI POA KUPASHA KIPORO NA MPENZI WAKO WA ZAMANI

Hakuna dharau kubwa kwa mwanamke kama vile mwanaume ambaye alikua mpenzi wako halafu akaoa mwanamke mwingine halafu anarudi kwako anakuambia bado anakupenda anataka kufanya tena mapenzi na wewe. Hapa naamanisha bila kujali sababu za yeye kukuacha kama alikuacha na kwenda kuoa mwingine halafu bado anakutumia kingono basi jua kuwa sio kwamba anakupenda na anashindwa kukusahau hapana ni kwamba amekudharau na anakuona mpumbavu. Hata kama alikuacha kwakua mmetofautiana Dini, hata kama alikatazwa na wazazi wake hata kama ni wewe ulimuacha, lakini kama mliachana na akarudi kutembea na wewe baada ya kuoa basi jua kuwa kakudharau. Kwanza kabisa anajua kabisa hujithamini ndiyo maana kwako anakua kimwili na kwa mkewe anaenda kutengeneza maisha. Lakini ni kama anajihakikishia kuwa huyu si mwanamke wa kuoa kabisa na alifanya maamuzi sahihi. Iko hivi moja ya wanawake ambao wanaume huwadharau ni wanawake ambao wanatembea na waume za watu tena bila malengo. Lakini atakua amekuona mpuuzi kabisa k

KUCHEPUKA KUNAHITAJI MTAJI

Acha Kuwa Baba Wa Familia Rudi Kuwa Mama; Kuchepuka kunahitaji hela, ni wanawake wachache sana ambao watasikia kua flani ameoa halafu wakawa na mahusiano ambayo hayagusi hela. Kwa maana hiyo basi kama mume wako anachepuka moja kwa moja atakua anahonga na kama anahonga basi moja kwa moja atakua akipunguza matumizi hapo nyumbani na kukuachia majukumu yake yote. Hapana, ukishamfumania mume wako acha kubeba majukumu yake na kama habebi basi yabaki hivyo hivyo. Inawezekana umeajiriwa au unakabiashara kako hivyo anajua kua hata asipotoa matumizi atarudi nyumbani na kukuta chakula, hapana. Kama hatoi matumizi akirudi nyumbani basi akute ushawapikia watoto chakula kimeisha, kama akirudi akute umeme hakuna na kama hatalipa ada ya watoto basi wabaki hapo nyumbani. Amua kabisa kuwa Mama, pesa zako anza kuwekeza katika mambo yako binafsi, wekeza vitu kwa majina ya watoto wewe ukiwa kama msimamizi wao. Hakikisha watoto wanapata chakula na matibabu ila mambo mengine muachie, hata ada muachie na

JIULIZE KWANZA YEYE ASINGEKUWEPO?

Unapolalamika kua mume wangu hataki kunipa mtaji, mpenzi wangu hataki kunipa mtaji hembu rudi nyuma kidogo na jiulize maswali mawili, kwanza jiulize je asingekuepo ungeupata wapi huo mtaji na swali la pili jiulize je kama asipokupa kabisa utaendelea kulalamika au utatafuta namna. Wanaume wengi hawatoi mitaji kwa wake zao kwakua wanaamini kua wakiwapa mitaji na wakifanikiwa watakua na kiburi, lakini hiyo haimaanishi usimamishe maisha yako kwakua yeye hataki, hembu fanya kama vile hayupo na kisha fikiria tena namna ya kupata mtaji!

STORI YANGU; NILIZAA NA WEWE KWAKUA UNAWEZA KUHUDUMIA MTOTO!

Wote tuliingia kazini siku moja, mimi niliajiriwa kama afisa mikopo wakati yeye aliajiriwa kama mhasibu lakini wote tulianzia kama mateila mpaka baada ya kama miezi sita hivi ndiyo tulitoka na kila mtu akawa ameenda katika kitengo chake.  Kuna dada mwingine ambaye walikua kitengo komoja na wote tulikua marafiki. Mimi ni msiri sana hivyo hata nilipoanzisha mahusiano yangu na Kelvin (Sio jina lake halisi) sikumuambia mtu yoyote zaidi ya Edna ambaye ingawa tulikutana kazini lakini alishaanza kuwa kama Dada yangu. Edna alikua ni rafiki yangu mkubwa, anakuja nyumbani kwangu tunaongea na nilimsaidia katika mambo mengi. Wakati Mama yake anaumwa kalazwa hospitali nakumbuka aliishiwa kabisa, hata kodi ya nyumba alikosa, walitaka kumfukuza lakini nikatoa pesa yangu laki tisa na kumlipia, baadaye alipotaka kunirudishia nilimuambia hapana. Alishukuru sana, kwa upande wa Kelvin mahusiano yetu yalikua hatakaharaka, tulifanya karibu kila kitu pamoja. Wakati nanunua kiwanja ili kujenga yeye ali

UKWELI KUHUSU MAMA; KWANINI AKINA MAMA HUWABUSU WATOTO WAO?

Mapenzi ya Mama kwa mtoto wake ni ya kipekee ambayo hayawezi kufananishwa na kitu chochote, narudia hayawezi kufananishwa na mapenzi ya aina yoyote hata yale ya Baba kwa mtoto wake. Hii ndiyo maana mwili wa mwanamke bila kujijua unamlinda mtoto tangu siku ya kwanza ya kutungwa mimba. Kuna mambo ambayo wanawake hufanya bila kujijua wanafanya nini lakini ni ya muhimu sana kwa maisha ya watoto wao. Nadhani umeshawahi kuona, mtoto akiwa mchanga, akinamama hupenda kuwabusubusu, Mama atambusu mtoto kila mara, akamkumbatia na hata kutamani kumng’ata. Kama ni Mama nadhani unajua, unaweza kujikuta unambusu tu mwanao, wakati mwingine bila hata kujali ni mchafu au la? Hivi unajua kuwa ni kwanini? Lakini Mama unakuta anamng’ata kucha mtoto, yaani kamshika na wala hajali anang’ata moja moja, yeye anadhani ni kwakua anaogopa wembe utamkata, hapana kuna kitu kingine zaidi ya hicho! Lakini pia unakumbuka kuwa, kuna siku uji ulimwagikia mwanao mkononi badala ya kumfuta kwa kitambaa ukaulam

WAKATI UNAVUMILIA HEMBU TAFUTA NA KAKAZI KAKUFANYA

Wakati mwingine mpaka basi, mtu kakuoa ulikua na biashara yako, kakupenda na elimu yako kwa maana kua utaajiriwa na utafanya kazi. Umeenda kwake kakudanganya danganya na wewe na uvivu wako umekubali kuacha kazi. Haya mambo yanenda kidogokidogo, mwanzo alikua anakuheshimu lakini baada ya muda anaona umekua mzigo, anaona kumbe ile kazi sio tu ilikua inakusaidia kununua vinguo vyako lakini pia ilikua inaomoesha na wadogo zako hivyo ni jukumu lake sasa si hataki ufanye kazi. Anakasirika ananza kukunyanyasa kua kula kulala, sijui ndugu zako wanamsumbu eti anajiona kama vile ameoa familia nzima. Bado hujiongezi anaamua kuchepuka kabisa, tena kwa dharau anakuonyesha anaipa simu michepuko yake ikutukane. Nawewe usivyojielewa umeamua kuvumilia ukisema Mungu atalipiza, haya hapo poteli ya mbali. Lakini badala uamkie sasa uanze kutafuta kazi unaendelea kulala kwa kisingizio eti hataki nifanye kazi. Pumbavu! Mnatia hasira, mbona wewe hutaki achepuke lakini bado anachepuka. Sasa haisishi